Music

Reuben Kigame – Enda Nasi (Mp3 Download + Lyrics)

Reuben Kigame Enda Nasi Mp3 Download

Reuben Kigame – Enda Nasi (Mp3 Download + Lyrics)

Reuben Kigame, Sifa Voices, reuben kigame enda nasi lyrics, reuben kigame enda nasi lyrics download, reuben kigame enda nasi audio mp3 download free, enda nasi mp3 download, reuben kigame enda nasi audio download, African Gospel artist Reuben Kigame and Sifa Voices released a single with the live performance music video of the song titled “Enda Nasi”.

DOWNLOAD Reuben Kigame – Enda Nasi

 

Reuben Kigame – Enda Nasi Lyrics

Tunaomba uwepo wako uende nasi (We pray for your presence to go with us )
Ewe Bwana wa majeshi utusikie (Oh Lord of Hosts, listen to us)
Kama huendi nasi, hatutaki kutoka hapa (If you won’t go with us, we don’t want to leave)
Hatuwezi pekee yetu, enda nasi ( We can’t by ourselves, go with us)

Tu watu wa shingo ngumu tusamehe (We are a stubborn people, forgive us )
Hatufai mbele zako, turehemu ( We are undeserving, redeem us)
Tusafishe ee Baba, tuonyeshe uso wako (Cleanse us Father, show us your face )
Twahitaji neema yako, enda nasi (We need your grace, )

Chorus:
Tutavua mapambo yetu, (We shall remove our ornaments )
Vitu vyote vya thamani kwetu (Everything we value )
Mioyo yetu twaleta mbele zako (Our hearts we bring before you )
Tutakase na utembee nasi (Cleanse us and walk with us)

Tunaomba utuonyeshe njia zako (We pray that you show us your ways )
Kwa maana umetuita kwa jina ( For you have called us by your name )
Twalilia Ee Bwana, utukufu na uso wako (We cry for your glory and your face Oh Lord)
Bila wewe tutashindwa, enda nasi (Without you Lord we shall be defeated, go with us )

Leave a Comment