Music

Petronilla Ayuma – Psalms 23 (Mp3 Download + Lyrics)

Petronilla Ayuma Psalms 23 Mp3 Download

Auto Draft

Petronilla Ayuma, psalm 23, petronilla ayuma psalms 23 mp3 download, petronilla ayuma psalms 23 download mp3, petronilla ayuma psalms 23 download audio, petronilla ayuma psalms 23 download free, Listen to this amazing gospel hit from the awesome Gospel Minister, singer and songwriter. PETRONILLA AYUMA KE IS A PRAISE AND WORSHIP MINISTER. CHALLENGES MAKES HER MORE STRONGER IN THE LORD. FOCUSED, DETERMINED, AND COMMITTED.

DOWNLOAD Petronilla Ayuma – Psalms 23

 

Psalms 23 Petronilla Ayuma Lyrics

CHORUS- Gongo lako na fimbo yako vyanifariji  x2 ( Thy rod and thy staff they comfort me)

Vyanifariji ( They comfort me)

Vyanifariji (They comfort me)

Vyanifariji ( They comfort me)

Vyanifariji ( They comfort me)

Bwana Yesu ndiye mchungaji wangu, (The Lord Jesus is my shepherd )

Sitapungukiwa na kitu chochote, ( I shall not want)

Katika majani mabichi hunilaza, ( He makes me lie down in green pastures)

Kando ya maji matulivu huniongoza, ( He leadeth me beside the still waters

Hunihuisha nafsi yangu huniongoza, ( He restoreth my soul, He leadeth me)

Katika njia za hakii  aaa, ( In the paths of  righteousness)

Kwa ajili ya jina lake Bwanaa, ( For His names sake)

Bwana Yesu mchungaji aaa… ( Lord Jesus my shepherd. .)

Chorus- Gongo lako na fimbo yako vyanifariji x2)

Vyanifariji ( They comfort me)

Vyanifariji ( They comfort me)

Vyanifariji (They comfort me)

Vyanifariji ( They comfort me)

Nijapopita kati ya bonde la uvuli, ( Though I walk through the valley) wa amauti sitaogopa mabaya, ( Of the shadow of death I will fear no evil)

Kwa maana wewe upo pamoja nami, ( For thou art with me)

Wewe upo pamoja na mimi Bwana (  For thou art with me Lord) (*2)

CHORUS-Gongo lako na fimbo yako vyanifarijix2 ( Thy rod and they staff they comfort me)

Vyanifariji ( They comfort me)

Vyanifariji ( They comfort me)

Vyanifariji ( They comfort me)

Vyanifariji ( They comfort me) ( *2)

Waniandalia meza mochoni pa watesi wangu ( Thou preparest a table before me in the presence of mine enemies )

Waniandalia meza machoni pa watesi wangu (Thou preparest a table before me in the presence of mine enemies)

Umenipaka mafuta kichwani pangu, ( Thou anointest my head with oil)

Umenipaka mafuta kikombe changu chafurika….kikombe changu cha furika.. ( Thou anointest my head with oil my cup runeth over… my cup runneth over)

Hakika wema na fadhili zako zitanifuata milele, ( Surely goodness and mercies shall follow me forever)

Siku zote za maisha yangu zitanifuata milele, ( All the days of my life they shall follow me forever )

Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana, (And I will dwell in the house of the Lord)

Nami nitakaa milele na milele…( And I will dwell forever and ever

Milele na milele… (Forever and ever)

    Leave a Comment