Music

Emachichi – Liko Lango (Mp3 Download + Lyrics)

Emachichi Liko Lango Mp3 Download

Emachichi – Liko Lango (Mp3 Download + Lyrics)

Emachichi, emachichi liko lango, emachichi liko lango mp3 download, emachichi liko lango lyrics, emachichi liko lango mp3, download song liko lango by emachichi, Gospel track by Emachichi titled LIKO LANGO. Download and enjoy!!!

DOWNLOAD Emachichi – Liko Lango

 

Emachichi – Liko Lango Lyrics

Liko lango moja waaazi
Ni lango la mbinguniii
Na wote wa ingiaawo
Watapata nafasiiii
Yesu ndie
Lango ndiye Yesu Bwana
(Oh alleluya)
Wote waingie kwake
(Alleluya ndie taa)
Lango lango lango laaango
(Alleluya ndie taa)
La mbinguniii
Niwaziii
Yesu ndie Lango hili
Hata sasa ni wazii
Kwa wa kubwa na wadogo
Tajiri na maskini
Yesu ndie
Lango ndiye Yesu Bwana
(Ooh alleluya)
Wote waingie kwake
(Alleluya ndie taa)
Lango lango lango laaango
(Alleluya ndie taa)
La mbinguniii Niwaziii
Hili lango o la raha
Ni lango la rehemaa
Kila mtu apitae
Hana majonzi tena
Yesu ndie
Lango ndiye Yesu Bwana
(Ooh alleluya)
Wote waingie kwake
(Alleluya ndie taa)
Lango lango lango laaango
(Alleluya ndie taa)
La mbinguniii Niwaziii
Tukipita lango hili
Tutatatua mzigoo
Tulio chukuwa kwanza
Tuta vikwa uzimaa
Yesu ndie
Lango ndiye Yesu Bwana
(Ooh alleluya)
Wote waingie kwake
(Alleluya ndie taa)
Lango lango lango laaango
(Alleluya ndie taa)
La mbinguniii Niwaziii
Hima ndugu tuingie
Lango halija fungwa
Likifungwa Mara moja
Halita funguliwa
Yesu ndie
Lango ndiye Yesu Bwana
(Ooh alleluya)
Wote waingie kwake
(Alleluya ndie taa)
Lango lango lango laaango
(Alleluya ndie taa)
La mbinguniii Niwaziii
Yesu ndie
Lango ndiye Yesu Bwana
(Ooh alleluya)
Wote waingie kwake
(Alleluya ndie taa)
Lango lango lango laaango
(Alleluya ndie taa)
La mbinguniii Niwaziii
Yesu ndie Lango
Lango ndiye Yesu Bwana
(Ooh alleluya)
Wote waingie kwake
(Alleluya ndie taa)
Lango lango lango laaango
(Alleluya ndie taa)
La mbinguniii Niwaziii

Leave a Comment